Kigbaya-Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kigbaya-Kaskazini''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] na [[Kamerun]] inayozungumzwa na [[Wagbaya]]. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kigbaya-Kaskazini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 200,000; na mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 72,500. Pia kuna wasemaji wachache nchini [[Jamhuri ya Kongo]] na [[Nigeria]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbaya-Kaskazini kikoiko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
 
==Viungo vya nje==