Kisaamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kisaamia''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Uganda]] inayozungumzwa na [[Wasaamia]]. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisaamia nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 335,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Kenya]]. Kisaamia kinafanana sana na Kiluhya cha Kenya, na wengine wanaiangalia kama lahaja ya [[Kiluhya]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisaamia kikoiko katika kundi la J30.
 
==Viungo vya nje==