Kidaasanach : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kidaasanach''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] na [[Kenya]] inayozungumzwa na [[Wadaasanach]]. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidaasanach nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 32,100. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Kenya. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaasanach kikoiko katika kundi la Kikushi.
 
==Viungo vya nje==