Kisomali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kisomali''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Somalia]], [[Ethiopia]], [[Kenya]] na [[Jibuti]] inayozungumzwa na [[Wasomali]]. Kupitia kwa Wasomali wahamiaji, Kisomali huzungumzwa katika nchi nyingi nyingine kama vile [[Kanada]], nchi mbalimbali za Ulaya na za Uarabuni. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisomali nchini Somalia imehesabiwa kuwa watu 8,340,000. Pia kuna wasemaji 4,610,000 nchini Ethiopia (2007), 2,386,222 nchini Kenya (2009), na 297,200 nchini Jibuti (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisomali kikoiko katika kundi la Kikushi.
 
==Viungo vya nje==