Kiafar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kiafar''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]], [[Eritrea]] na [[Jibuti]] inayozungumzwa na [[Waafar]]. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiafar nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 906,000. Pia kuna wasemaji 99,200 nchini Jibuti (mwaka wa 2006). Idadi ya Waafar nchini Eritrea haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiafar kikoiko katika kundi la Kikushi.
 
==Viungo vya nje==