Kianuak : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kianuak''' ni [[Lugha za Kinilo-Sahara|lugha ya Kinilo-Sahara]] nchini [[Ethiopia]] na [[Sudan Kusini]] inayozungumzwa na [[Waanuak]]. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kianuak nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 88,000. Nchini Sudan Kusini kuna wasemaji 52,000 (1991). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianuak kikoiko katika kundi la Kinilotiki.
 
==Viungo vya nje==