Kiganza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kiganza''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Sudan]] na [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Waganza]]. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiganza nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 2600 na nchini Ethiopia 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiganza kikoiko katika kundi la Kiomotiki.
 
==Viungo vya nje==