Kihadiyya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kihadiyya''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Wahadiyya]]. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihadiyya imehesabiwa kuwa watu 1,250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihadiyya kikoiko katika kundi la Kikushi.
 
==Viungo vya nje==