Kimesmes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kimesmes''' ilikuwa [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] iliyozungumzwa na [[Wagurage]]. Hakuna wasemaji wa Kimesmes wabakio maana yake lugha imetoweka kabisa. Ilifanana na lugha ya [[Kigurage cha Sebat Bet]] na pia na [[Kiinor]]. Bado kuna watu wengi ambao wanajihesabu kama Wamesmes lakini huongea [[Kihadiyya]]. Imefikiriwa kuwa msemaji wa Kimesmes wa mwisho alifariki takriban mwaka wa 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimesmes kikoiko katika kundi la Kisemitiki.
 
==Viungo vya nje==