Kinayi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kinayi''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Wanayi]]. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinayi imehesabiwa kuwa watu 7190. Hata hivyo kuna Wanayi 12,000, maana yake Wanayi wengi wameanza kuacha lugha yao ya Kinayi na kutumia [[Kikafa]] badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinayi kikoiko katika kundi la Kiomotiki.
 
==Viungo vya nje==