Kinyangatom : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kinyangatom''' ni [[Lugha za Kinilo-Sahara|lugha ya Kinilo-Sahara]] nchini [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Wanyangatom]]. Kinyangatom kinafanana sana lugha ya [[Kitoposa]] nchini [[Sudan Kusini]] na lugha ya [[Kiturkana]] nchini [[Kenya]]. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinyangatom imehesabiwa kuwa watu 24,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyangatom kikoiko katika kundi la Kinilotiki.
 
==Viungo vya nje==