Kiwolane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kiwolane''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Wawolane]]. Idadi ya wasemaji wa Kiwolane haijahesabiwa. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya [[Kisilt'e]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolane kikoiko katika kundi la Kisemitiki.
 
==Viungo vya nje==