Kihdi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kihdi''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Kamerun]] inayozungumzwa na [[Wahdi]]. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihdi imehesabiwa kuwa watu 25,000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini [[Nigeria]] ambako lugha huitwa ''Kihide''. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihdi kikoiko katika kundi la Kichadiki.
 
==Viungo vya nje==