Kishau : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kishau''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Nigeria]] inayozungumzwa na [[Washau]]. Idadi ya wasemaji wa Kishau haijulikani. Hata hivyo kuna wasemaji wachache mno mpaka lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishau kikoiko katika kundi la Kikainji.
 
==Viungo vya nje==