Kiziriya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kiziriya''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Nigeria]] inayozungumzwa na [[Waziriya]]. Idadi ya Waziriya imehesabiwa kuwa watu 2000 lakini wameacha lugha yao. Kwa hiyo, inawezekana kwamba lugha ya Kiziriya imeshatoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiziriya kikoiko katika kundi la Kikainji. Wengine husema kuwa Kizirya ni sawa na lugha ya [[Kisheni]].
 
==Viungo vya nje==