Kisoninke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kisoninke''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Mali]], [[Senegal]], [[Gambia]], [[Mauritania]] na [[Guinea-Bisau]] inayozungumzwa na [[Wasoninke]]. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisoninke nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 250,000 nchini Senegal, 156,000 nchini Gambia, 39,000 nchini Mauritania na 5000 nchini Guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisoninke kikoiko katika kundi la Kimande.
 
==Viungo vya nje==