Kihehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Kihehe''' ni lugha ya Kibantu nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Wahehe]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihehe imehesabiwa kuwa watu 805,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kihehe iko katika kundi la G60.
 
==Viungo vya nje==