Pogromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Pogromu''' (kutoka rus. погромить (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalu...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:31, 17 Mei 2014

Pogromu (kutoka rus. погромить (pogromit) - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.

Neno latokana na ghasia za fujo katika Urusi wa karne ya 19 zilizo ambako Wayahudi walishambuliwa, maduka na nyumba zao kuharibiwa na idadi ya watu kuuawa hovyo.