Kirufiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Kirufiji''' (au ''Kiruihi'') ni lugha ya Kibantu nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Warufiji]]. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kirufiji imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kirufiji iko katika kundi la P10.
 
==Viungo vya nje==