Kimbunga (lugha) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d kiungo cha lugha za Kibantu using AWB
Mstari 1:
'''Kimbunga''' (au ''Kigangi'') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Wambunga]]. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimbunga imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kimbunga iko katika kundi la P10.
 
==Viungo vya nje==