Kinyaturu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d kiungo cha lugha za Kibantu using AWB
Mstari 1:
'''Kinyaturu''' ( pia huitwa ''Kirimi'') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Wanyaturu]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyaturu imehesabiwa kuwa watu 595,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kinyaturu iko katika kundi la F30.
 
==Viungo vya nje==