Jumuiya ya Afrika Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
dNo edit summary
Mstari 87:
* [[Rwanda]] (2007)
 
Kanda ya Afrika Mashariki imezunguka eneo la [[kilomita]] milioni moja nukta nane (1.8) mraba na pamoja ina wakazi wapatao milioni mia moja (100) ( Makisio ya Julai 2005) na maliasili nyingi. Tanzania imekuwa na historia ya amani tangu kunyakua uhuru,ikilinganishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoshuhudiwa katika mataifa ya [[Kenya]], [[Rwanda]], [[Burundi]], na [[Uganda]]. Wakati huu Afrika Mashariki inajaribu kudumisha utulivu na mafanikio katikati ya migogoro inayoendelea katika nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], Pembe ya Afrika, na [[kusini mwa Sudan]]. Lugha nne muhimu katika eneo la Afrika Mashariki ni [[Kiswahili]], Kiingereza, [[Kirundi]] na [[Kinyarwanda]], ingawa Kifaransa kiimeenea pia. {{Citation needed|date=Oktoba 2009}}
 
== Historia ==