Walinzi wa amani wa UM : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '350px|thumbnail|Walinzi wa amani wa UM kutoka Nepal nchini Somalia waka 1993 '''Walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa'''...'
 
No edit summary
Mstari 6:
Kikosi cha kwanza kiliundwa mwaka 1948 kusimamia mapatano ya kusimamia mapigano katika [[Palestina]] baada ya vita ya kwanza kati ya Israeli na nchi ya Kiarabu. Baada ya [[vita ya Suez]] mwaka 1956 walinzi wa mani walitumwa mara ya kwanza wakibeba silaha. Tangu kuingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Kongo walinzi wa amani huvaa kofia buluu na kuandika herufi "UN" (=UM) kwenye magari yao.
 
Msingi wa kutuma wainziwalinzi wa amani ni kibali cha serikali ya nchi husika pande zote katika ugomvi. Vikosi vya walinzi wa amani hawana mamlaka ya kuchukua upande au kushiriki katika mapigano. Wanatumia silaha kwa ajili ya kujitetea pekee. Hata hivyo Baraza la Usalama la UM linaweza kutoa amri kwa walinzi wa amani kuendelea kuwalazimisha washiriki katika mapigano. Kwa namna hii kikosi maalumu cha UM kilianza kushambulia wanamigambo katika mashariki ya Kongo waliokataa kufuata mapatano ya kusimamisha mapigano na kupora wananchi.
 
Mwaka 2014 kulikuwa na walinzi wa amani mahali 16 duniani wakiwa na jumla ya wanajeshi na wafanyakazi 116.517. Nchi zinazotoa wanajeshi ni hasa [[Pakistan]], [[Uhindi]] na [[Bangladesh]], kila nchi takriban 8.000. Hadi 31 Machi 2014 jumla ya walinzi 3215 waliuawa, 2320 kati ya hao walikuwa wanajeshi, 232 polisi, 322 wafanyakazi wa UM kutoka nchi husika na 228 wafanyakazi raia wa kimataifa.