Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ walinzi wa amani
Mstari 2:
'''Umoja wa Mataifa''' (UM) ni umoja wa [[nchi]] zote [[dunia]]ni isipokuwa zile zisizotambuliwa kuwa [[dola huru]].
 
Umoja huu ulianzishwa mwaka [[1945]] na nchi washindi wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]; zilikuwa 51 lakini kufikia mwaka [[2013]] kulikuwa na nchi 193 wanachama, mbali na [[Ukulu mtakatifu]] (Vatikani) na [[Palestina]] ambazo zinashiriki kama [[watazamaji wa kudumu]], zikiwa na haki karibu zote isipokuwa kupiga kura.
 
Dhumuni la umoja huu ni kuratibu mahusiano ya kimataifa kupitia [[sheria]] na mikataba ya kimataifa kwenye maeneo kama [[usalama]], [[amani]], [[maendeleo ya jamii]] na ya [[uchumi]], [[haki za binadamu]], [[uhuru]], [[demokrasia]] n.k.
Mstari 24:
 
Cha sita kilikuwa [[Baraza la Wafadhili la UM]] (Trusteeship Council), ambacho kimesimamisha kazi yake [[1994]].
 
Baraza la Usalama linaamua kutuma [[walinzi wa amani wa UM]] penye maeneo ya ugomvi.
 
== Vyama vya pekee vya UM ==