Chai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Chai ya mkandaa
Mbeya nimesikia "chai ya rangi" tu.
Mstari 3:
'''Chai''' ni [[kinywaji]] kinachotengenezwa kwa kulowesha majani ya chai (Camellia sinensis) katika maji ya moto. Wakati mwingine hata vinywaji vinavyopatikana kwa kutumia majani ya mimea mingine vinaitwa "chai".
 
Kwa kawaida chai hunywewa ikiwa moto. Katika [[Afrika ya Mashariki]] huungwa [[maziwa]] ndani yake pamoja na [[sukari]] na viungo vingine. Aina hii ya chai imeenea kutoka Uhindi. Pasipo na maziwa huitwa "chai ya mkandaa", pia "chai ya rangi".
 
Nchi nyingi zina utamaduni wa pekee jinsi ya kutengeneza chai. Wengine hunywa chai bila kitu kingine, wengi hupenda kuongeza sukari tu.