Waorthodoksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 29 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q383258 (translate me)
viungo, kunyosha
Mstari 1:
'''Waorthodoksi''' ni [[Ukristo|Wakristo]] wanaofuata [[mapokeo]] ya [[Mitume]] wa [[Yesu]] jinsi yalivyostawi awalikihistoria katika [[Ukristo wa Mashariki]] upande wa mashariki wa [[Dola la Roma]] na nje ya mipaka yake. Leo hii ni chi za [[Ulaya ya Mashariki]] pamoja na nchi za [[Mashiriki ya Kati]] ulipoenea baadaye sini ya [[Uislamu]].
 
Jina hilo lina asili ya [[Kigiriki]] likitokana na maneno όρθος ("orthos", yaani "nyofu", "sahihi") na δόξα ("doksa", yaani "rai", "fundisho") yaani "wenye fundisho sahihi".
 
Jina hilo lilitungwa ili kutofautisha Wakristo waliofuata mafundisho rasmi ya imani yaliyotolewa na [[Mitaguso ya kiekumene]] dhidi ya [[uzushi]]mikondo mingine ya wakati ule.
 
Kwa namna ya pekee jina hilo lilitumika upande wa mashariki, hivi kwamba lilipotokea [[Farakanofarakano la Mashariki]] (hasa mwaka [[1054]]), likabaki kama jina maalumu la ma[[kanisa]] yenye ushirika na [[Patriarki]] wa [[Konstantinopoli]] (leo [[Istanbul]] katika [[Uturuki]]).
 
Hivi karibuni hata makanisa mengine ya mashariki yamechagua kujiita hivyo, ingawa yanaendelea kukataa sehemu ya mitaguso mikuu iliyokubaliwa na Wakristo walio wengi.
 
[[Category:Ukristo]]