Waorthodoksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo, kunyosha
viungo, kunyosha
Mstari 1:
[[Picha:Waorthodoksi.png|thumbnail|450px|Maeneo ya Waorthodoksi katika Ulaya na Mashariki ya Kati]]
'''Waorthodoksi''' ni [[Ukristo|Wakristo]] wanaofuata mapokeo ya [[Mitume wa Yesu]] jinsi yalivyostawi kihistoria katika [[Ukristo wa Mashariki]] upande wa mashariki wa [[Dola la Roma]] iliyoitwa pia [[Bizanti]] na nje ya mipaka yake. Leo hii ni chi za [[Ulaya ya Mashariki]] pamoja na nchi za [[MashirikiMashariki ya Kati]] ulipoenea baadaye sinidini ya [[Uislamu]].
 
Jina hilo lina asili ya [[Kigiriki]] likitokana na maneno όρθος ("orthos", yaani "nyofu", "sahihi") na δόξα ("doksa", yaani "rai", "fundisho") yaani "wenye fundisho sahihi".
Line 7 ⟶ 8:
Kwa namna ya pekee jina hilo lilitumika upande wa mashariki, hivi kwamba lilipotokea farakano la mwaka 1054, likabaki kama jina maalumu la ma[[kanisa]] yenye ushirika na [[Patriarki]] wa [[Konstantinopoli]] (leo [[Istanbul]] katika [[Uturuki]]).
 
Makanisa ya kujitegemea ya Kiorthodoksi ni kama yafuatayo:
Hivi karibuni hata makanisa mengine ya mashariki yamechagua kujiita hivyo, ingawa yanaendelea kukataa sehemu ya mitaguso mikuu iliyokubaliwa na Wakristo walio wengi.
* Patriarki wa Konstantinopoli
* Patriarki wa Aleksandria
* Patriarki wa Antiokia
* Patriarki wa Yerusalemu
* Patriarki wa Moskwa na Urusi
* Patriarki wa Peć na Serbia
* Patriarki wa Romania
* Patriarki wa Bulgaria
* Patriarki wa Georgia
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Kipro]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Ugiriki]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Poland]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Albania]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Uceki]] na [[Slovakia]]
 
 
Hivi karibuni hata makanisa mengine ya mashariki yamechagua kujiita hivyo, ingawa yanaendelea kukataakutofautiana sehemukuhusu maazimio kadhaa ya mitaguso mikuu iliyokubaliwa na Wakristo walio wengi. Leo hii wanatofautisha kwa kutumia majina
*"Waorthodoksi" kwa makanisa yaliyotokana na kanisa rasmi la [[Bizanti]] (Roma Mashariki) (ing.: Eastern Orthodox)
*"[[Waorthodoksi wa Mashariki]]" kwa makanisa yaliyojitenga na kanisa hili la Bizanti (ing. Oriental Orthodox)
 
Hata hivyo pande mbili zinafanana katika [[liturgia]] na staili za ibada zao pia katika sheria kuhusu maaskofu (wasiooa), makasisi (wanaoweza kuoa) na [[umonaki]].
 
[[Category:Ukristo]]