Roberto Bellarmino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Wenceslas Hollar - Cardinal Bellarmin.jpg|thumb]]
 
Roberto Francesco Romolo Bellarmino ([[Montepulciano]], [[wilaya]] ya [[Siena]] nchini [[Italia]], [[4 Oktoba]] [[1542]] - [[Roma]], [[Italia]], [[17 Septemba]] [[1621]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Shirika la Yesu]], halafu [[padri]], [[askofu]] na [[kardinali]] wa [[Kanisa Katoliki]] anayeshika nafasi muhimu katika [[historia]] ya [[karne ya 16]] na [[karne XVII|17]].
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[13 Mei]] [[1923]], [[mtakatifu]] tarehe [[29 Juni]] [[1930]] na [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[17 Septemba]] [[1931]].
Mstari 24:
Baada ya kupewa [[upadrisho]] huko [[Gand]] tarehe [[25 Machi]] [[1570]], alibaki Louvain miaka sita kama mwalimu wa teolojia na mhubiri, akizidi kupata wanafunzi na wasikilizaji kutoka kila upande.
 
Mwaka [[15861576]] [[Papa Gregori XIII]] alimuita Roma afundishe hoja dhidi ya [[uzushi]], kama alivyofanya hadi mwaka [[15871586]]. Ni, kwambaAkiandika [[Mtagusovitini]] waambavyo Trentobaadaye vikaunda kitabu “Controversiae” (“Mabishano”), ambacho kilisifiwa mara kwa [[utajiri]], ulikuwa[[uwazi]] umemalizikana tangumsingi mudawa mrefukihistoria katika kutoa msimamo wa Kikatoliki juu ya [[Ufunuo]], [[Kanisa]], [[sakramenti]] na [[neema]]. Humo anasisitiza [[muundo wa Kanisa]], Katolikikama lilikuwailivyohitajiwa na haja[[hali]] tete ya kujiimarisha[[imani]] kielimuwakati nahuo, kirohoasisahau [[roho]] yake inayohuisha kwa ndani muundo huo. KaziPia yaanakwepa Robertokushambulia iliingia[[Uprotestanti]], mojaakikazia kwakutetea mojamafundisho katikaya juhudiKanisa hizokwa [[hoja]] za [[Urekebishoakili]] wana Kikatolikiza [[mapokeo]].
 
[[Mtaguso wa Trento]] ulikuwa umemalizika tangu muda mrefu, na Kanisa Katoliki lilikuwa na haja ya kujiimarisha kielimu na kiroho. Kazi ya Roberto iliingia moja kwa moja katika juhudi hizo za [[Urekebisho wa Kikatoliki]].
Kuanzia mwaka [[1588]], akiwa kiongozi wa kiroho wa [[Collegio Romano]], alishirikiana na [[Papa Sixtus V]], ingawa huyo hakumpenda sana yeye wala shirika lake. Kati ya vijana aliowalea huko, maarufu zaidi ni [[Alois Gonzaga]], ambaye alifariki mwaka [[1591]] kutokana na [[tauni]] aliyoambukizwa na mtu aliyemuokota barabarani.
 
Kuanzia mwaka [[1588]], akiwa kiongozi wa kiroho wa [[Wajesuiti]] wanafunzi wa [[Collegio Romano]], alishirikiana na [[Papa Sixtus V]], ingawa huyo hakumpenda sana yeye wala shirika lake. Kati ya vijana aliowalea huko, maarufu zaidi ni [[Alois Gonzaga]], ambaye alifariki mwaka [[1591]] kutokana na [[tauni]] aliyoambukizwa na mtu aliyemuokota barabarani.
 
Baada ya kushughulikia [[kesi]] ya kumtangaza [[mwenye heri]], aliomba azikwe karibu naye, kama ilivyotokea baadaye.
Line 36 ⟶ 38:
Mwaka [[1597]] [[Papa Klementi VIII]] alimrudisha [[Roma]] kama mshauri katika masuala ya teolojia n.k.
 
Miaka ya mwisho1597-[[1598]] alitunga [[katekisimu]] (kubwa na ndogo), ambazo ziliathiriwa na [[mazingira]] ya mabishano kati ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]], na kuenea sana hadi mwisho wa [[karne XIX]]. Mchango wake huo katika [[malezi]] ya vizazi vipya vya Kikatoliki ulimstahilia sifa ya mwalimu wa Kanisa.
Tarehe [[3 Machi]] [[1599]] Papa alimteua kuwa [[kardinali]] akieleza kwamba, ''Kanisa la Mungu halina mwingine sawa naye katika elimu''. Bellarmino alijaribu kwa kila njia kumfanya Papa abadili msimamo, lakini mwishoni alilazimika kukubali. Pamoja na hayo, hakubadili maisha yake magumu, na mapato yake aliyaelekeza karibu yote kwa maskini.
 
Tarehe [[3 Machi]] [[1599]] Papa alimteua kuwa [[kardinali]] akieleza kwamba, ''Kanisa la Mungu halina mwingine sawa naye katika elimu''. Bellarmino alijaribu kwa kila njia kumfanya Papa abadili msimamo[[uamuzi]], lakini mwishoni alilazimika kukubali. Pamoja na hayo, hakubadilihakuacha maisha yake magumu, na mapato yake aliyaelekeza karibu yote kwa maskini.
 
Kama kardinali aliongoza [[idara]] mbalimbali za Papa na, baada ya kupewa [[uaskofu]] tarehe [[21 Aprili]] [[1602]], kuwa [[Askofu mkuu]] wa [[dayosisi|jimbo]] la [[Capua]] ([[1602]]-[[1605]]), alipojitokeza kwa [[bidii]] yake ya kuhubiri katika [[kanisa kuu]], kwa kutembelea [[parokia]] kila [[wiki]], kwa [[sinodi]] 3 za jimbo alizoendesha na kwa kuanzisha [[mtaguso wa kanda]].
 
Alikuwa anajua kujilinganisha na watu wa kawaida, nao walifurahia [[usahili]] wa mtu [[msomi]] kiasi hicho.
 
Baada ya kushiriki [[uchaguzi]] wa [[Papa Leo XI]] na [[Papa Paulo V]], aliitwa tena Roma kushughulikia idara mbalimbali, lakini pia alitumwa kama [[balozi]] huko [[Venice]] na [[Uingereza]] akatetee [[haki za Kanisa]].
 
[[Mzigo]] wa ma[[jukumu]] na [[ubovu]] wa mazingira havikumsahaulisha [[juhudi]] kwa ajili ya [[utakatifu]] aliodaiwa na [[hadhi]] yake kama [[mtawa]] na askofu, akimlenga [[Yesu]] ili kumjua, kumpenda na kumuiga kwa dhati. Kwake ilikuwa [[furaha]] kubwa kujikusanya kwa [[utulivu]] na [[unyofu]] asali na kumzingatia [[Mungu]].
 
Miaka ya mwisho alitunga vitabu mbalimbali kuhusu [[maisha ya Kiroho]] alipokusanya ma[[tunda]] ya [[mazoezi ya kiroho|mazoezi yake ya kila mwaka]], kama vile “Akili Kupanda kwa Mungu”, “Ufundi wa Kufa Vema” na “Mlio wa Njiwa”. Humo inajitokeza [[hisia]] yake kubwa ya [[wema]] usio na mipaka wa Mungu, ambaye alijisikia mwanae mpendwa.
Kama kardinali aliongoza [[idara]] mbalimbali za Papa na kuwa [[Askofu mkuu]] wa [[dayosisi|jimbo]] la [[Capua]] ([[1602]]-[[1605]]).
 
“Ee roho, [[mfano]] wako ni Mungu, [[uzuri]] usio na mipaka, [[mwanga]] usio na [[kivuli]], [[uangavu]] unaopita ule wa [[mwezi]] na [[jua]]… Yeyote anayempata Mungu, amepata yote, yeyote anayemkosa Mungu amekosa yote”.
Alikuwa anajua kujilinganisha na watu wa kawaida, nao walifurahia usahili wa mtu msomi kiasi hicho.
 
Katika kuhimiza kwa nguvu [[urekebisho wa Kanisa]], kuanzia [[wakleri]] hadi [[walei]], alielekeza kwanza [[wongofu]] wa [[moyo]] kadiri ya mafundisho ya [[Biblia]] na ya [[watakatifu]].
Miaka ya mwisho alitunga [[katekisimu]] (kubwa na ndogo) ambazo ziliathiriwa na mazingira ya mabishano kati ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]], na kuenea sana hadi mwisho wa [[karne XIX]]. Mchango wake huo katika malezi ya vizazi vipya vya Kikatoliki ulimstahilia sifa ya mwalimu wa Kanisa.
 
Alifariki Roma tarehe 17 Septemba 1621.