Teresa wa Mtoto Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Teresa wa Mtoto Yesu na wa Uso Mtakatifu''' ([[Alençon]], [[Ufaransa]], [[2 Januari]] [[1873]] - [[Lisieux]], Ufaransa, [[30 Septemba]] [[1897]]) ni jina la kitawa la '''Thérèse Françoise Marie Martin''', maarufu pia kwa jina la '''Teresa wa Lisieux''', anayeheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] mwenye sifa za [[bikira]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Akifurahia [[udogo]] wake, Teresa alijitokeza kama “[[mtaalamu]] wa [[elimu ya upendo]]” ([[Papa Yohane Paulo II]]), ambayo inajumlisha kweli zote za [[imani]], hasa katika [[shajara]] zake alimosimulia kwa [[unyofu]] wa hali ya juu jinsi kwa [[neema]] alivyoelewa na kutekeleza [[Injili]] katika maisha yake yaliyofichika ndani ya [[monasteri]] ya [[Wakarmeli Peku]].
Tangu mwaka [[1927]] ni [[msimamizi]] wa [[wamisionari]] wote (pamoja na [[Fransisko Xavier]]), na tangu mwaka [[1944]] wa [[Ufaransa]] (pamoja na [[Yoana wa Arc]]).
 
Tangu mwaka [[1927]] ni [[msimamizi]] wa [[wamisionari]] wote (pamoja na [[Fransisko XavierSaveri]]), na tangu mwaka [[1944]] wa [[Ufaransa]] (pamoja na [[Yoana wa Arc]]).
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe [[1 Oktoba]].
 
== Maisha ==
===Asili na utoto===
[[Picha:TdL-1881.JPG|thumb|left|120px|Teresa mwaka 1881 akiwa na umri wa miaka 8.]][[Picha:therese.jpg|250px|thumbnail|left|Teresa muda mfupi kabla ya kusafiri kwenda [[Italia]] ([[1887]])]]
Teresa, mtoto wa tisa na wa mwisho wa Louis Martin na Marie-Azélie Guérin (Zélie), ambao wanaheshimiwa kama [[wenye heri]] tangu tarehe [[19 Oktoba]] [[2008]], alizaliwa tarehe 2 Januari 1873 kwenye barabara rue Saint-Blaise 42, huko Alençon, [[mkoa]] wa [[Normandie]] (Ufaransa).
 
[[Picha:Basilique de Lisieux.JPG|left|thumb|250px|Basilika la Lisieux, lenye eneo la 4500 m<sup>2</sup> na urefu wa mita 95, lililojengwa kwa heshima yake mwaka [[1937]]]]
Teresa, mtoto wa tisa na wa mwisho wa Louis Martin na Marie-Azélie Guérin (Zélie), ambao wanaheshimiwa kama [[wenye heri]], alizaliwa tarehe 2 Januari 1873 kwenye barabara rue Saint-Blaise 42, huko Alençon (Ufaransa).
 
Walipokuwa vijana wazazi wake walitaka kuingia utawani, wasiweze. Baada ya kuoana, maisha yao yote yaliongozwa na [[imani]] na [[maadili]] ya [[Ukristo]].
Mstari 17:
Teresa alipozaliwa, watoto 4 walikuwa wameshafariki.
 
Teresa alifiwaaliyumba sana kinafsi alipofiwa mama yake alipokuwaakiwa na umri wa miaka 4 tu. Hapo mjomba wake, Isidore Guerin, aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa mabinti watano walioachwa na [[marehemu]] ambao wote wakawa ma[[sista]] baadaye. Hivyo, tarehe [[15 Novemba]] [[1877]], Louis Martin alihamia Buissonnets, kitongoji cha [[Lisieux]], awe jirani na [[shemeji]] yake mwenye [[famasia]]. Huko Teresa alijenga uhusiano mkubwa na binamu yake Maria.
 
Lakini uhusiano wa pekee hasa alikuwa nao kwa dada zake Paulina na Maria, akiwaona kama mama zake.
 
Teresa alisimulia alivyoponywa [[ugonjwa wa nafsi]] yake kwa kutokewa na [[Bikira Maria]] akimtabasamu. Baadaye alipokea [[komunyo ya kwanza]] na katika kuungana hivyo na [[Yesu]] alimfanya [[kiini]] cha maisha yake.
 
===Wito===
[[Picha:TdL-1881.JPG|thumb|left|120px|Teresa mwaka 1881 akiwa na umri wa miaka 8.]][[Picha:therese.jpg|250px|thumbnail|left|Teresa muda mfupi kabla ya kusafiri kwenda [[Italia]] ([[1887]]).]]
Mwaka 1882, Paulina alipoingia [[monasteri]] ya [[Wakarmeli]] ya Lisieux, angetaka kumfuata, lakini hakuweza kutokana na umri wake mdogo. Zaidi tena alitaka kufanya hivyo Maria pia alipoingia monasteri hiyohiyo mwaka [[1886]].
 
Usiku wa [[Noeli]] iliyofuata, alishinda moja kwa moja [[huzuni]] yake iliyomfanya alielie daima. Alielewa anahitaji kumtafuta [[Mungu]] kwa [[ukomavu]] zaidi na kujipatia hivyo "elimu ya upendo".
Mwenyewe aliita neema hiyo “[[wongofu]] kamili”, na tangu hapo alianza “kupiga [[mbio]] kama [[jitu]]”.
 
Alipofikia umri wa miaka 14 Teresa alizidi kushikamana kwa imani na [[Yesu msulubiwa]], akajitosa kwa “[[moyo wa kimama]]” kumuombea [[muuaji]] aliyeonekana kukabili [[adhabu ya kifo]] bila kutubu. “Nilitaka kwa [[gharama]] yoyote kumzuia asiende [[moto]]ni [[milele]]… Nilikuwa na [[tumaini]] kubwa kabisa katika [[Huruma]] ya Yesu isiyo na mipaka”. Ndiyo [[mang’amuzi]] yake ya kwanza ya [[umama wa kiroho]].
Alipofikia umri wa miaka 14 Teresa alianza kupigania [[wito]] wake dhidi ya upinzani wa watu mbalimbali waliotaka kuahirisha hatua ya kujiunga na [[utawa]]. Kwa ajili hiyo alisafiri hadi [[Roma]] akaombe ruhusa ya [[Papa Leo XIII]], lakini alikataliwa kwa wema. Kitu hicho kilimsikitisha lakini bila kumhangaisha, kwa sababu alijua amefanya kila aliloweza ili kuitikia wito wake mapema.
 
Alipofikia umri wa miaka 14 Teresa alianza kupigania [[wito]] wake dhidi ya upinzani wa watu mbalimbali waliotaka kuahirisha hatua ya kujiunga na [[utawa]]. Kwa ajili hiyo mnamo Novemba [[1887]] alisafiri hadi [[Roma]] akaombe ruhusa ya [[Papa Leo XIII]], lakini alikataliwa kwa wema. Kitu hicho kilimsikitisha lakini bila kumhangaisha, kwa sababu alijua amefanya kila aliloweza ili kuitikia wito wake mapema.
Wakati wa kurudi Ufaransa, [[askofu]] wake aliamua kubadili msimamo na kumruhusu. Hivyo tarehe 9 [[Aprili]] [[1888]] msichana Teresa alingiia [[Karmeli]], akiwa na miaka 15 tu. Ile tisa iliyofuata ikawa na [[maendeleo ya kiroho]] ya kasi ajabu.
 
===Kuingia monasteri===
Wakati wa kurudi Ufaransa, [[askofu]] wake aliamua kubadili msimamo na kumruhusu. Hivyo tarehe 9 [[Aprili]] [[1888]] msichana Teresa alingiia [[Karmeli]] “ili kuokoa roho za watu na kuombea mapadri”, akiwa na miaka 15 tu. Ile tisa iliyofuata ikawa na [[maendeleo ya kiroho]] ya kasi ajabu.
 
Wakati huohuo baba yake alianza kusumbuliwa na ugonjwa wa akili uliomtia [[tabu]] na [[aibu]] sana. Huo ukawa sababu ya [[uchungu]] mwingi hata kwa [[binti]] yake mpendwa, ambaye lakini kwa [[njia]] hiyo alijaliwa kutazama [[uso wa Yesu]] katika [[mateso]] yake.
 
===Kisha kuweka nadhiri===
Aliweka [[nadhiri]] zake za kwanza tarehe [[8 Septemba]] [[1890]], ikawa [[arusi ya kiroho]] katika udogo: “Ilikuwa siku ya [[Maria Kuzaliwa]]. Lo, [[sikukuu]] nzuri kweli kwa kuolewa na Yesu! [[Bikira]] mtakatifu katika udogo wake kama [[mtoto mchanga]] ndiye aliyemtoa aliye [[Ua]] lake dogo kwa Yesu mdogo”.
 
Kwa Teresa, kuwa [[mtawa]] maana yake ilikuwa kuwa [[bibiarusi]] wa Yesu na mama wa roho za watu. Ndiyo maana siku hiyo aliandika sala iliyotokeza [[dira]] yote ya maisha yake, akimuomba Yesu, kama [[zawadi]] ya [[Upendo]] wake usio na mipaka, aweze kuwa mdogo kuliko wote, lakini hasa aliomba [[wokovu]] wa watu wote: “Leo kusiwe na roho yoyote ambayo ipotee milele”.
 
Mwaka [[1893]] aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa [[wanovisi]], kazi aliyofanya kwa bidii na ufanisi mkubwa. Baadaye kwa maandishi yake yaliyoenea upesi duniani kote akawa mlezi wa umati wa watu akiwaelekeza kufuata [[Heri Nane]] alizotangaza [[Yesu]] mlimani.
Line 33 ⟶ 48:
Mwaka [[1894]], baada ya [[ugonjwa]] wa muda mrefu, mzee Louis Martin alifariki, na binti yake mwingine, Selina, aliyekuwa anamtunza, aliweza kujiunga na monasteri hiyo. [[Kamera]] yake imetuachia [[picha]] halisi za Teresa.
 
===Miaka ya mwisho===
Mwezi [[Aprili]] [[1896]], alipatwa na [[TB]], ugonjwa uliokuja kumuua baada ya miezi 18. Mateso ya mwili yaliendana na yale ya ndani yanayojulikana kama "usiku wa roho".
Muhimu sana ni “Majitoleo kwa Upendo wenye Huruma” ambayo aliyafanya katika sikukuu ya [[Utatu Mtakatifu]] ya mwaka [[1895]] na yalifungua kipindi cha mwisho cha maisha yake mafupi kilichojaa mateso katika muungano na yale ya Yesu.
 
Mwezi [[Aprili]] [[1896]], alipatwa na [[TB]], ugonjwa uliokuja kumuua baada ya miezi 18. Mateso ya mwili yaliendana na yale ya ndani yanayojulikana kama "[[usiku wa roho]]" na ni [[jaribu]] kali la imani. Pamoja na Bikira Maria chini ya [[msalaba]] wa Mwanae, Teresa alifaulu kulishinda katika [[giza]] nene lilioenea ndani mwake. Alitambua kwamba alipaswa kupatwa na jaribu hilo kwa ajili ya wokovu wa [[wakana Mungu]] wote wa [[ulimwengu wa kisasa]], ambao aliwaita “[[ndugu]]”.
 
Alizidi vilevile kutekeleza [[upendo wa kidugu]]: kwa masista wa [[jumuia]] yake, kwa [[wamisionari]] wawili aliokabidhiwa awaombee, kwa mapadri na watu wote, hasa wale wa mbali zaidi, akawa kweli [[dada]] wa wote. Upendo wake wa kuvutia ulitokeza [[furaha]] ya dhati ambayo mwenyewe alifichua [[siri]] yake: “Ee Yesu, furaha yangu ni kukupenda wewe”.
 
Katika hali hiyo ya mateso, akitekeleza upendo wa hali ya juu katika mambo madogo ya maisha ya kila siku, Teresa alitimiza [[wito]] wake wa kuwa upendo katika [[moyo]] wa [[Kanisa]].
 
Katika [[barua]] yake ya mwisho, aliandika hivi juu ya [[picha]] ya [[Mtoto Yesu]] iliyochorwa ndani ya [[Hostie]] takatifu: “Siwezi kumuogopa Mungu aliyejifanya mdogo hivi kwa ajili yangu! … Mimi nampenda! Kwa kuwa yeye ni Upendo na Huruma tu!”
 
“Mimi amenipa Huruma yake isiyo na mipaka, na ni katika [[kioo]] hicho kisichosemeka kwamba nazingatia sifa zake nyingine za Kimungu. Hizo zote zinaonekana kwangu zinang’aa kwa upendo. Hata [[Haki]] yake, labda kuliko sifa nyingine, inaonekana kwangu imevikwa Upendo”.
 
Ndani mwake yalitimia maneno aliyoyandika: “Watakatifu wote walielewa, na kwa namna ya pekee labda wale waliojaza ulimwengu kwa [[mwanga]] wa mafundisho ya Injili. Haikuwa katika sala kwamba [[Mtume Paulo|Mt. Paulo]], [[Agostino wa Hippo|Mt. Augustino]], Mt. [[Yohane wa Msalaba]], Mt. [[Thoma wa Akwino]], [[Fransisko wa Asizi|Fransisko]], [[Dominiko GUzman|Dominiko]] na ma[[rafiki]] wa Mungu wengine wengi hivi walichota elimu ile ya ajabu ambayo iliteka akili bora?”
 
“Mimi nahitaji kufungua tu Injili takatifu ili ninuse mara [[manukato]] ya maisha ya Yesu, na hapo nijue njia ambayo nipige mbio juu yake; nami nakimbilia nafasi ya mwisho, si ile ya kwanza… Nahisi kwamba hata kama [[dhamiri]] yangu ingelemewa na makosa yote ya [[jinai]] yanayoweza kufanyika… kwa moyo uliovunjika kwa uchungu ningejitupa mikononi mwa Yesu [[Mwokozi]] wangu, kwa sababu najua anampenda [[mwana mpotevu]]”.
 
Tarehe [[10 Julai]] [[1897]] udhaifu ulimzuia asiendelee kuandika habari za maisha yake kama alivyoagizwa. Neno la mwisho aliloliandika katika sentensi isiyomalizika ni "upendo".
Alifariki tarehe [[30 Septemba]] 1897, mnamo saa 19:20, huku akitazama [[sanamu]] ya Msulubiwa aliyoishika mikononi na kusema, “Mungu wangu, nakupenda!”. Maneno hayo yalikuwa [[muhtasari]] wa maisha yake.
 
“Yesu, nakupenda” ndiyo yanayotawala maandishi yake yote. Kwa njia hiyo alizama katika Utatu Mtakatifu. Katika ma[[shairi]] yake aliandika, “Lo, unajua, Yesu Mungu, kuwa nakupenda / Roho wa Upendo ananiwasha kwa moto wake / Ni kwa kukupenda kwamba nampendeza Baba”.
 
== Heshima baada ya kufa ==
[[Picha:Basilique de Lisieux.JPG|left|thumb|250px|Basilika la Lisieux, lenye eneo la 4500 m<sup>2</sup> na urefu wa mita 95, lililojengwa kwa heshima yake mwaka [[1937]].]]
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilitokea [[miujiza]] iliyopatikana kwa maombezi yake. Ni kama alivyosema, kuwa atamimina [[mvua]] ya ma[[waridi]] kutoka [[mbinguni]], akitumia [[uzima wa milele] kutenda mema mengi duniani.
 
Line 45 ⟶ 78:
 
==Njia yake ya kiroho==
“Njia ndogo ya tumaini na upendo”, njia ya "[[utoto wa kiroho]]” aliyoielekeza inafundisha kutimiza sharti la Yesu: “Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia katika [[ufalme wa mbinguni]]” ([[Math]] 18:3). Njia hiyo inatia moyo wa kujitoa kikamilifu kama kikafara kwa [[wokovu]] wa [[ulimwengu]]. Mwenyewe aliifuata hata akasema: “Kupenda ni kutoa yote, na kujitoa pia”. “Sijawahi kumnyima chochote [[Mungu]] mwema!”
 
[[Siri]] yake ni nguvu ya [[upendo]], ambao Teresa alitambua ndio [[wito]] wake katika [[Kanisa]]: kuwa [[moyo]] wa [[Mwili wa Kristo]] ili kusaidia viungo vyake vyote kufanya kazi vizuri.
 
==Sala zake==
Line 133 ⟶ 166:
 
{{Walimu wa Kanisa}}
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1873]]