Teresa wa Mtoto Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Sainte therese de lisieux.jpg|tumb|right|200px|Teresa mwaka [[1895]].]]
 
 
'''Teresa wa Mtoto Yesu na wa Uso Mtakatifu''' ([[Alençon]], [[Ufaransa]], [[2 Januari]] [[1873]] - [[Lisieux]], Ufaransa, [[30 Septemba]] [[1897]]) ni jina la kitawa la '''Thérèse Françoise Marie Martin''', maarufu pia kwa jina la '''Teresa wa Lisieux''', anayeheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] mwenye sifa za [[bikira]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Line 11 ⟶ 10:
== Maisha ==
===Asili na utoto===
[[Picha:TdL-1881.JPG|thumb|left|120px|Teresa mwaka 1881 akiwa na umri wa miaka 8.]]
Teresa, mtoto wa tisa na wa mwisho wa Louis Martin na Marie-Azélie Guérin (Zélie), ambao wanaheshimiwa kama [[wenye heri]] tangu tarehe [[19 Oktoba]] [[2008]], alizaliwa tarehe 2 Januari 1873 kwenye barabara Saint-Blaise 42, huko Alençon, [[mkoa]] wa [[Normandie]] (Ufaransa).
 
Mstari 24:
 
===Wito===
[[Picha:TdL-1881Teresa13anni.JPG|thumb|leftright|120px250px|TeresaThérèse mwakaMartin 1881 akiwaalipokuwa na umri wa miaka 813 (Februari [[1886]]).]][[Picha:therese.jpg|250px|thumbnail|leftright|Teresa muda mfupi kabla ya kusafiri kwenda [[Italia]] ([[1887]]).]]
Mwaka 1882, Paulina alipoingia [[monasteri]] ya [[Wakarmeli]] ya Lisieux, angetaka kumfuata, lakini hakuweza kutokana na umri wake mdogo. Zaidi tena alitaka kufanya hivyo Maria pia alipoingia monasteri hiyohiyo mwaka [[1886]].
 
Mstari 49:
 
===Miaka ya mwisho===
[[Picha:AdolpheRoulland.JPG|thumb|right|250px|Adolphe Roulland, mmoja wa mafraterima[[frateri]] wawili ambao Teresa alikabidhiwa kuwaombea.]]
Muhimu sana ni “Majitoleo kwa Upendo wenye Huruma” ambayo aliyafanya katika sikukuu ya [[Utatu Mtakatifu]] ya mwaka [[1895]] na yalifungua kipindi cha mwisho cha maisha yake mafupi kilichojaa mateso katika muungano na yale ya Yesu.
 
Line 156 ⟶ 157:
* ''[[Vous m'appellerez petite Thérèse]]'', ya [[Anne Foumier]] ([[1998]])
* ''[[Thérèse - The Story of Saint Thérèse]]'', ya [[Leonardo Defilippis]] ([[2003]])
 
== Picha zake ==
 
<gallery>
Picha:Teresa13anni.JPG|Thérèse Martin alipokuwa na umri wa miaka 13 (Februari 1886)
 
Picha:AdolpheRoulland.JPG|Adolphe Roulland, mmoja wa mafrateri wawili ambao Teresa alikabidhiwa kuwaombea
</gallery>
 
{{Walimu wa Kanisa}}