Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kuongezea maana ya kitaalumu zaidi.
d Robot: af:Taal is a featured article; cosmetic changes
Mstari 8:
 
Mara chache neno lugha linatumika kwa taratibu za kuwasiliana za [[mnyama|wanyama]]. Lakini taratibu hizo ni tofauti sana: Katika lugha za wanyama, [[sauti]] moja ina maana moja tu. Lakini katika lugha za binadamu, sauti nyingi zinaunganishwa kutengeneza maneno, na maneno mengi yanaunganishwa kutengeneza sentensi. Hivyo mnyama ambaye anaweza kutengeneza sauti ishirini tofauti anaweza "kusema" mambo ishirini tu. Kwa upande mwingine mtu ambaye anaweza kutengeneza sauti ishirini, anaweza kusema mambo zaidi ya millioni.
== Tabia za lugha ==
* Lugha huzaliwa
* Lugha hukua = (kuongezeka kwa maneno, kuongezeka kwa idadi ya wazungumzaji, kuwa na mawanda mapana, kusanifiwa).
* Lugha hurithiwa
* Lugha huathiriana
* Lugha lazima ijitosheleze
* Lugha hufa
== Sifa za lugha ==
* Lugha lazima iwe inahusu binadamu
* Sauti-sauti hufanywa na mwanadamu
* Lugha hufuata misingi ya fonimu, yaani, a, b, c, h, d, z
* Lugha huwa na mpangilio maalumu wenye kubeba maana. Mpangilio huo huanza na fonimu ---> Silabi ---> Neno
* Lugha hujitambulisha ili kuzalisha maneno mengi.
== Dhima za lugha ==
# Lugha hutumika kama chombo cha mawasiliano kwa kupashiana habari.
# Lugha hutumika kujenga umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwa wanajamii.
# Lugha hutumika kutunza, kukuza, na kuendeleza utamaduni wa jamii.
# Lugha hutumika katika kutetea maarifa mbalimbali (ni nyenzo ya kufundishia).
# Lugha hutumika kama alama ya utambulisho wa kabila/jamii au taifa fulani.
== Aina za lugha ==
Kimsingi lugha ni moja. Uwasilishwaji wake ndiyo huigawa katika tanzu/aina kuu mbili:
# Lugha ya mazungumzo
# Lugha ya maandishi
=== Lugha ya mazungumzo ===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya mazungumzo ya mdomo - na hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mazungumzo. Lugha ya mazungumzo ni kongwe, hai na halisi zaidi ya mzungumzaji na ina maana nyingi kwani mzungumzaji na msikilizaji ua ana kwa ana katika mazingira mamoja.
;Stadi za lugha ya mazungumzo ni kuzungumza na kusikiliza.
Mstari 43:
| 2 || Mzungumzaji || Msikilizaji
|}
=== Lugha ya maandishi ===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi. Hii ni kiwakilisha cha lugha ya mazungumzo katika mfumo wa maandishi. Lugha ya maandishi ni changa kwani imeanza karne za hivi karibuni baada ya kuvumbuliwa kwa maandishi.
;Stadi za lugha ya maandishi ni kuandika na kusoma.
Mstari 57:
 
Kwa kawaida, lugha ni sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Lugha ya aina hii inaitwa [[lugha asilia]]. Lakini pia kuna [[lugha ya kuundwa|lugha za kuundwa]].
== Nyanja za lugha ==
Lugha ina nyanja kuu mbili nazo ni:
* Sarufi - hushughulikia kanuni za lugha
* Fasihi - hushughulikia sanaa zitokanazo na lugha husika ili kuumba kazi mbalimbali za kifasihi.
== Sarufi ==
 
== Kukua na kufa kwa lugha ==
Mstari 83:
 
[[Jamii:Lugha| ]]
 
{{Link FA|af}}