Reli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
viungo
Mstari 7:
duniani.<ref>http://www.indianembassy.org/i_digest/2004/jan_31/indian_railways.htm</ref>]]
 
'''Reli''' (kutoka [[Kiing.]] ''rail / railroad'') ni mfumo wa usafiri wa abiria na mizigo kwa magari[[treni]] yanayotembeazinazotembea kwenye njia ya pau za [[feleji]]. Reli huwa ni sehemu muhimu za [[miundombinu]] wa kila nchi. Kwa maana asilia "reli" ni zile "reli za chuma" au [[reli za garimoshi]] ambazo kwa kawaida hutumiwa mbili-mbili kijozi kufanya [[njia ya treni]] yenyewe.
 
Kwa nchi nyingi huureli ni mtindo muhimu wa usafiri kwa sababu inarahisisha mwendo wa watu na bidhaa. Ikitumiwa vema gharama zake ni afadhali kuhusu usafiri wa barabarani. Mahitaji ya nishati kwa kiwango cha mzigo ni kidogo kuliko barabarani.<ref>[http://www.aar.org/Index.asp?NCID=4223 Railroad Fuel Efficiency Sets New Record]- American Association of Railroads</ref>
 
Faida yake ni hasa tabia za njia yake; paureli za felejigarimoshi huwa na uso tambarare isiyonyoka kwa hiyo ma[[gurudumu]] ya [[treni]] hutembea kwa [[msuguano]] mdogo.
 
== References ==