Bud Spencer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: sr:Бад Спенсер
Mstari 47:
# Troublemakers (1994)
 
Filamu nyingi za aina hii zilikuwa na majina mawilimawili, maana ilikuwa inategemea na nchi yenyewe au msambazji mwenyewe vile apendavyo. Baadhi zilitolewa katika muundo wa lugha ya [[Italia|kitaliano]] na kubadilishwa au kutafsriwa kwa lengo la kwenda kuuza nchi za nje. Filamu za namna hiyo zilileta mkusanyiko mkubwa wa wagizaji wa filamu kutoka nchi mbalimbali hasa zile nchi za [[ulaya]]. Kwa mujibu wa IMDB wanasema kwamba waigizaji hao wa [[Italiano|kitaliano]] na ambao sio wa [[Italia|kitaliano]] wametengeneza takribani filamu 19. Hizo filamu zilizodi (Mbali na zilizorodheshwa hapo juu) Upo uwezekano mkubwa wa kuwa na matoleo mawili ya kijerumani ya filamu ya "God Forgives... I Don't!" na "Boot Hill" ambayo ilimalizaliwa kabisa, kukata baadhi ya vipande na kuweka jina jipya ili iweze kusukumwa na haraka sokoni.
 
Filamu za namna hiyo zilileta mkusanyiko mkubwa wa wagizaji wa filamu kutoka nchi mbalimbali hasa zile nchi za [[ulaya]]. Kwa mujibu wa IMDB wanasema kwamba waigizaji hao wa [[Italiano|kitaliano]] na ambao sio wa [[Italia|kitaliano]] wametengeneza takribani filamu 19.
 
Hizo filamu zilizodi (Mbali na zilizorodheshwa hapo juu) Upo uwezekano mkubwa wa kuwa na matoleo mawili ya kijerumani ya filamu ya "God Forgives... I Don't!" na "Boot Hill" ambayo ilimalizaliwa kabisa, kukata baadhi ya vipande na kuweka jina jipya ili iweze kusukumwa na haraka sokoni.
 
==Filamu alimocheza==