TAZARA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 13 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1432750 (translate me)
]viungo
Mstari 9:
[[Picha:Ifakara.TAZARA.station.JPG|thumbnail|Kituo cha TAZARA huko Ifakara]]
== Njia ya TAZARA ==
Njia ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860. [[Njia hiiya reli]] ina upana sawa na reli za Zambia na Afrika Kusini lakini ni tofauti na njia yaza [[Reli ya Tanzania]] hivyo treni na magari hayawezi kutumiwa pande zote nchini Tanzania.
 
Reli ilianza kazi yake mwaka 1976 kwa mashine 120 lakini sasa ziko 30 pekee hasa za makampuni za [[Krupp]] na [[General Electric]]. Mashine asilia za Kichina haziendi tena.
Mstari 33:
 
== Shabaha za mradi wa kujenga TAZARA ==
TAZARA ilijengwa katikuanyia yamwaka 1970 -hadi 1976 na [[Jamhuri ya Watu wa China]] kama zawadi kwa mataifa ya Zambia na Tanzania. Ujenzi ulitekelezwa na wafanyakazi Wachina zaidi ya 20,000.
 
Shabaha ya mradi ilikuwa hasa kisasakisiasa ililenga kuanzisha usafiri kwa ajili ya shaba ya Zambia usiotegemea mabandari ya [[Afrika Kusini]] na [[Msumbiji]]. Msumbiji wakati ule ilikuwa koloni ya Ureno na Afrika Kusini ilitawaliwa kwa mfumo wa [[apartheid]] (siasa ya ubaguzi wa rangi). Zambia chini ya serikali ya Kenneth Kaunda iliunga mkono upinzani dhidi ya apartheid na ukoloni ikaona aibu ya kutegemea nchi hizi kiuchumi. China ilitaka kuimarisha msimamo kati ya mataifa huru ya Afrika ikajitolea kujenga reli kwa kuipa Zambia njia nyingine ya kufikia bahari.