Reli ya Kenya-Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho kidogo + viungo
kunyosha historia
Mstari 8:
==Utanguliza wa kujenga reli==
===Biashara ya Uganda===
Reli ilijengwa kwa sababu [[Kampuni ya Kifalme ya Uingereza kwa Afrika ya Mashariki IBEA]] (Imperial British East Africa Company) ilitaka kuboresha biasharausafiri wa kwenda na [[Uganda]] baada ya kusainiUganda mkataba nailitangazwa [[Kabakanchi lindwa]] na Uingereza na kampuni ilitaka kuchukua nafasi hii ya kuanzisha mashamba ya kibiashara huko yasiyokuwa na faida bila usafiri wa [[Buganda]]kupeleka [[Mwangamazao II]]kwenye masoko ya dunia.

Mwenye kampuni ya IBEA William [[MacKinnon]] alianzisha biashara kati ya Mombasa na Uganda lakini safari hizi kwa magari ya maksai zilikuwa ngumu na ghali sana. MacKinnon alianza kushawishi Serikali ya [[Uingereza]] na kudai reli ijengwe. Awali serikali ya Uingereza ilisitasita kwa sababu faida ya kiuchumi haikuonekana pia Uingereza wakati ule haikupenda kuongeza idadi ya koloni zake ikipendelea kuwaachia watu binafsi na makampuni yao shughuli za kufungua masoko mapya katika nchi kama Uganda.
 
Maeneo ambayo ni [[Kenya]] ya leo yalifikiriwa wakati ule kukosa thamani ya kiuchumi kabisa.
 
===Mashindano na Wajerumani===