Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sainta15.jpg|thumb|300px|right|[[Picha takatifu]] ya [[Atanasi wa Aleksandria]], [[Askofu mkuu]] ([[Patriarki]]) wa [[Aleksandria]] na mtetezi mkuu wa [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]].]]
[[Picha:StAthanasiusShrineinStMarkCathedralCairo.jpg|thumb|right|[[Patakatifu]] pa Atanasi panapotunza [[masalia]] yake chini ya [[kanisa kuu]] la [[Mtakatifu Marko]] huko [[Kairo]] (Misri).]]
'''Atanasi wa Aleksandria''' anayeitwa '''Mkuu''' ([[Aleksandria]], [[Misri]], [[295]] hivi - [[Aleksandria]], [[2 Mei]] [[373]]) alikuwa [[Patriarki]] wa [[Kanisa Katoliki]] la [[madhehebu]] ya [[Misri]] na ndiye aliyetetea kuliko wote [[imani sahihi]] ya [[Kanisa]] kati ya [[mtaguso mkuu|mitaguso mikuu]] miwili ya kwanza.
 
Maisha yote ya Atanasi yanahusikayalihusika na juhudi kubwa za [[Kanisa]] kwa ajili ya kufafanua na kutetea [[imani sahihi]] juu ya [[Yesu]] na juu ya [[Utatu]] hata akaitwa mapema “nguzo ya Kanisa” ([[Gregori wa Nazianzo]]).
Kwa mafundisho yake na kwa upendo wake motomoto kwa Kristo, tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]] na mmojawapo kati ya ma[[babu wa Kanisa]] walio muhimu zaidi. Anakumbukwa pia katika kalenda ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]].
 
Kwa mafundisho yake na kwa [[upendo]] wake motomoto kwa [[Kristo]], tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]] na mmojawapo kati ya ma[[babu wa Kanisa]] walio muhimu zaidi. Anakumbukwa pia katika kalenda ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]].
 
Mwaka [[1568]] [[Papa Pius V]] alimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
Line 19 ⟶ 21:
Upande wa dini, baada ya dhuluma za serikali ya Dola la Roma kwisha, Wakristo wa Misri walikuwa na [[chuo]] muhimu cha [[katekesi]], lakini kulikuwa pia na maelekeo ya hatari, hasa wafuasi wengi wa [[Gnosi]], mbali na wale wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.
Mwaka [[319]] [[askofu]] [[Aleksanda wa Aleksandria]] alimpa [[daraja takatifu]] ya [[ushemasi]] na kumfanya katibu wake. Akiwa bado shemasi, mwaka [[325]] alimsindikiza na kumsaidia kwenye [[Mtaguso I wa Nisea]] mwaka [[325]] ulioitishwa na [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] hasa kwa lengo la kujadili mafundisho ya [[padri]] wa Aleksandria, jina lake [[Ario]], kuhusu [[dhati]] ya [[Yesu Kristo]].
Maisha yote ya Atanasi yanahusika na juhudi kubwa za [[Kanisa]] kwa ajili ya kufafanua na kutetea [[imani sahihi]] juu ya [[Yesu]] na juu ya [[Utatu]] hata akaitwa mapema “nguzo ya Kanisa” ([[Gregori wa Nazianzo]]).
 
Mwaka [[319]] [[askofu]] [[Aleksanda wa Aleksandria]] alimpa [[daraja takatifu]] ya [[ushemasi]] na kumfanya katibu wake. Akiwa bado shemasi, mwaka 325 alimsindikiza na kumsaidia askofu wake Aleksanda wa Aleksandria kwenye [[Mtaguso I wa Nisea]] mwaka [[325]] ulioitishwa na [[kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] hasa kwa lengo la kujadili mafundisho ya [[padri]] wa Aleksandria, jina lake [[Ario]], kuhusu [[dhati]] ya [[Yesu Kristo]]. Huyo alisema [[Neno wa Mungu]] si Mwanae halisi, bali [[kiumbe]] tu, ingawa cha Kimungu kwa namna fulani. Hivyo alikataa uwezekano wa [[binadamu]] kushiriki [[umungu]] kwa njia ya [[Kristo]].
 
Dhidi ya Ario, aliyefuatwa mapema na watawala na maaskofu wengi, huo [[Mtaguso mkuu]] wa kwanza ulitunga [[kanuni ya imani]] ambamo ulitumia neno la [[Kigiriki]] ὁμοούσιος (''homoousios'', yaani "wa dhati ileile" ya [[Baba]]), ili kukiri kwa namna wazi usawa kamili wa [[Mungu Baba]] na [[Mwana]] aliyezaliwa naye bila kuumbwa.
Line 29 ⟶ 31:
Mara baada ya kushika nafasi ya [[marehemu]] askofu Aleksanda, Atanasi alionyesha hatakubali maelewano tofauti na imani iliyoungamwa na umati wa maaskofu huko Nisea. Ushindani wake na serikali ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Ario kwenye ushirika.
 
Atanasi alipaswa kustahimili dhuluma za serikali, hata akafukuzwa katika [[dayosisi|jimbo]] lake walau mara tano na kupelekwa uhamishoni tangu miaka michache baada ya kuchaguliwa [[Patriarki]] wa Aleksandria na wa Misri yote mwaka [[328]] (alipokuwa na umri wa miaka 30 tu) hadi mwaka [[366]], ambapo kaisariKaisari alilazimishwa na [[umati]] amrudishe Aleksandria. Katika miaka 30, aliishi miaka 17 uhamishoni akiteseka kwa ajili ya imani.
 
Kumbe, akiwa mbali na Aleksandria, alitetea na kueneza hata [[Trier]] (leo nchini [[Ujerumani]]) na [[Roma]] ([[Italia]]) imani ya Nisea pamoja na umonaki. Ushindani wake na serikali ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Ario kwenye [[ushirika]].
Line 112 ⟶ 114:
[[Jamii:Waliozaliwa 295]]
[[Jamii:Waliofariki 373]]
[[Jamii:WatakatifuMaaskofu wa MisriWakatoliki]]
[[Jamii:Mababu wa Kanisa]]
[[Jamii:Walimu wa Kanisa]]
[[Jamii:MaaskofuWatakatifu Wakatolikiwa Misri]]