Mark Twain : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
img
No edit summary
Mstari 33:
}}
[[File:Mark Twain at Stormfield (1909).webm|thumb|Маrk Twain (1909)]]
'''Mark Twain''' lilikuwa [[jina la kisanii]] la '''Samuel Langhorne Clemens''' ([[30 Novemba]] [[1835]] - [[21 Aprili]] [[1910]]) aliyekuwa [[mwandishi]] nchini [[Marekani]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa katika mji wa Florida kwenye jimbo la [[Missouri]] akaendelea kuwa mwandishi wa magazeti na baadaye nahodha wa meli ya [[mto Missisippi]]. Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani ilizuia usafiri wa mtoni akaenda magharibi alipojaribu kuchimba dhahabu akaanza tena kuandika kwa gazeti.
Alizaliwa katika [[mji]] wa [[Florida]] kwenye [[jimbo]] la [[Missouri]] akaendelea kuwa mwandishi wa ma[[gazeti]] na baadaye [[nahodha]] wa [[meli]] ya [[mto Missisippi]].
 
Alizaliwa katika mji wa Florida kwenye jimbo la [[Missouri]] akaendelea kuwa mwandishi wa magazeti na baadaye nahodha wa meli ya [[mto Missisippi]]. Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani]] ilizuia [[usafiri]] wa mtoni akaenda [[magharibi]] alipojaribu kuchimba [[dhahabu]] akaanza tena kuandika kwakwenye gazeti.
Mwaka 1863 alianza kuandika kwa jina la kuchaguliwa "Mark Twain". Jina hili lilitokana na lugha ya mabaharia likimaanisha "alama mbili" kwenye uzi wa kupima kina cha maji chini ya meli ni kina kinachohitajika kwa safari. Kwa jina hili alitoa hadithi za kichekesho zilizopendwa na watu akajenga sifa yake. Akatumwa na magazeti kwa safari akiendelea taarifa za kichekesho juuy a safari zake.
 
Mwaka [[1863]] alianza kuandika kwa jina la kuchaguliwa "Mark Twain". Jina hilihilo lilitokana na [[lugha]] ya mabahariama[[baharia]] likimaanisha "[[alama]] mbili" kwenye [[uzi]] wa kupima [[kina]] cha [[maji]] chini ya meli ni kina kinachohitajika kwa [[safari]]. Kwa jina hilihilo alitoa [[hadithi]] za [[kichekesho]] zilizopendwa na watu akajenga [[sifa]] yake. Akatumwa na magazeti kwa safari akiendelea taarifa za kichekesho juuy a safari zake.
Baadaye alitoa pia riwaya. Kati ya vitabu vyake ambavyo hutazamiwa kama bora ni ''Huckleberry Finn'' ambayo ni hadithi ya kijana mzungu anayemsaidia mtumwa wa asili ya Kiafrika kupata uhuru wake katika majimbo ya kusini ya Marekani.
 
Akatumwa na magazeti kwa safari akiendelea kutoa taarifa za kichekesho juu ya safari zake.
 
Baadaye alitoa pia [[riwaya]]. Kati ya vitabu vyake ambavyo hutazamiwahutazamwa kama bora ni ''[[Huckleberry Finn]]'' ambayo ni hadithi ya [[kijana]] mzungu[[Mzungu]] anayemsaidia [[mtumwa]] wamwenye [[asili]] ya Kiafrika[[Afrika]] kupata [[uhuru]] wake katika majimbo ya kusini ya Marekani.
 
== Maandiko ==