Trela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Lori lenye trela 2 za kupakia ubao Picha:Artic.lorry.arp.750pix.jpg|thumbnail|Lori la kuvuta na s...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:11, 2 Juni 2014

Trela ni gari bila injini linalovutwa na motokaa, mara nyingi na motokaa kubwa kama vile lori au trekta. Kuna pia trela ndogo zinazovutwa na motokaa madogo, halafu ndogo zaidi kwa ajili ya pikipiki na baisikeli.

Lori lenye trela 2 za kupakia ubao
Lori la kuvuta na semitrela (nyekundu) yake
Trela ya abiria nyuma ya basi
Trela ya baisikeli yenye gurudumu 1

Kwa kawaida matumizi ya trela ni kubeba mizogo. Kuna pia trela zenye behewa ya abiria.

Aina za trela ni nyingi zaunganishwa kwa nondo ya kuvuta na motokaa au lori. Trela kubwa zaidi aina za semitrela zinalala juu ya lori la pekee lisilobeba mizigo mingine.

Trela zenye uzito wa zaidi ya 700 kg zinahitaji breki. Kwenye trela kubwa au semitrela breki zinaunganishwa na breki ya lori yenyewe na kutawaliwa kutoka kiti cha dereva.

Trela kubwa inayojaa inaweza kuwa uzito mkubwa na hivyo nchi nyingi zinaweka mipaa kwa idadi ya trela za lori 1 au uzoto kwa jumla lwa kusidi la kuhifadhi barabara zao.