Tofauti kati ya marekesbisho "Tumbaku"

6 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Tabak CIMG2866.JPG|thumbnail|Majani ya tumbako yaliyokatwa tayari kwa kanda nyembamba sana, tayari kwa kutengeneza sigara]]
'''Tumbako''' ni majani makavu ya mmea wa [[mtumbako]] ambayo yanatumiwa na binadamu kwa kuvuta kama sigara, kutafuniwa mdomoni au tumbako ya kunusa. Tumbako huwa ndani yake kemikali ya [[nikotini]] ambayo mwili unazoea haraka sana na kuifanya vigumu kwa wavuta tumbako kuachana na desturi hii.
 
==Asili ya tumbako==