Tumbaku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
o>u kufuatana na mwalimu Muddy
Mstari 1:
[[Picha:Tabak CIMG2866.JPG|thumbnail|Majani ya tumbakotumbaku yaliyokatwa tayari kwa kanda nyembamba sana, tayari kwa kutengeneza sigara]]
'''TumbakoTumbaku''' (''wakati mwingine pia'' '''tumbako''') ni majani makavu ya mmea wa [[mtumbakomtumbaku]] ambayo yanatumiwa na binadamu kwa kuvuta kama sigara, kutafuniwa mdomoni au tumbakotumbaku ya kunusa. TumbakoTumbaku huwa ndani yake kemikali ya [[nikotini]] ambayo mwili unazoea haraka sana na kuifanya vigumu kwa wavuta tumbakotumbaku kuachana na desturi hii.
 
==Asili ya tumbakotumbaku==
Asili ya tumbakotumbaku iko katika Amerika ambako [[Maindio]] wenyeji waliitumia kama dawa la kidini pia la burudani. Tangu [[Kolumbus]] Wahispania walipeleka mtumbakomtumbaku hadi Ulaya ambako uliangaliwa mwanzoni kama mmea wa kiganga. Matumizi hasa kwa njia ya kuvuta na kutafuna yalienea haraka katika Ulaya na kwa njia ya mabaharia Wareno katika pande zote za dunia.
[[Picha:Tobacco field cuba1.jpg|thumbnail|Shamba la tumbakotumbaku nchini Kuba]]
==Kazi ya nikotini ndani ya tumbakotumbaku==
TumbakoTumbaku inavutiwa hasa kwa sababu nikotini ambayo ni dawa ndani yake inaathiri ubongo na neva ya binadamu na kupunguza uchovu na kusaidia mtu kusikia utulivu na raha. Tofauti na madawa mengine kama alikoholi, bhangi au afyuni yanayoathiri pia ubongo na neva tumbakotumbaku haisababishi hali ya ulevi. Lakini inasababisha haraka uzoefu wa mwili unaoshikwa na hamu ya kupata nikotini tena na tena. Hapo ni vigumu kwa watu walioanza kutumia tumbaku mara kwa mara uachana na matumizi yake.
 
==Hatari za kiafya==
Matumizi ya tumbakotumbaku yamegunduliwa kuwa kati ya sababu kuu zinazosababisha magonjwa mengi kwa binadamu pamoja na kansa, magonjwa ya moyo na mapafu, na mengine. Magonjwa haya hayasababishwi na nikotini lakini na desturi ya kuvuta tumbakotumbaku. Moshi ya majani ya tumbakotumbaku huwa na maelfu ya kemikali ndani yake ni hasa kemikali hizi zinazovutwa ndani ya mwili wakati wa kuvuta ambazo ngozi ndani ya mwili, mishipa, moyo na mapavu. Kwa hiyo nikotini inamlazimisha mvutaji kuvuta tena na tena na hivyo kuingiza mwilini kemikali nyingi zenye hasara.
 
Matumizi ya tumbakotumbaku nje ya kuvuta (kutafuna, kunusa) yamegundunduliwa kupunguza hatari za kiafya lakini inaleta matatizo yaleyale ya kutegemea nikotini na kutoachana nayo.
[[Picha:KarteTabakernteWelt.png|thumbnail|right|Nchi zilizolima zaidi ya tani 100,000 za tumbakotumbaku mwaka 2000 ]]
==Kilimo==
Kilimo cha tumbakotumbaku ni tawi muhimu la uchumi kwa nchi mbalimbali. Kilwa mavuno ya duniani ni takriban tani milioni 6.7. Wazalishaji wakuu ni [[China]] (39.6%), [[Uhindi]] (8.3%), [[Brazil]] (7.0%) na [[Marekani]] (4.6%). <ref>US Census Bureau-Foreign Trade Statistics, (Washington DC; 2005)</ref> Tanzania ni kati ya nchi kumi za kwanza zinazolima tumbaku inavuna asilimia 1.6 ya tumbakotumbaku ya dunia.<ref>http://www.factfish.com/statistic-country/tanzania/tobacco,+production+quantity</ref>
 
Katika nchi zilizoendelea kilimo cha tumbakotumbaku kimepungua na kiasi cha China kumeongezeka.
[[Picha:Tabakblätter.JPG|thumbnail|Majani ya tumbakotumbaku wakati wa kukauka]]
==Baada ya mavuno==
Mavuno hutokea siku 70 hadi 130 baada ya kulima shamba. Majani huvuniwa wakati majani yanaanza kuonyesha rangi ya manjano maana yameiva. Mavuno yanaenda kwa uangalifu kwa sababu mashimo katika majani yanapunguza ubora na bei, Baada ya mavuno majani yanafungwa pamoja kwa kamba na kukaushwa. Kuna mbinu za kuzikausha polepole kivulini au juu ya moto au penye hewa ya moto haraka katika muda wa siku chache tu.
Majani yaliyokauka hufungwa pamoja kwa mchakato wa kuchachua. Huu unabadilisha ladha ya tumbakotumbaku kwa njia inayotakiwa. Baadaye tumbakotumbaku hutiwa sosi zenye sukari au vitu vingine vya kutia ladha halafu kukatwa na kufungwa kulingana na matumizi kama tumbakotumbaku ya kuvuta katika sigara za kawaida, sigara kubwa, pipo, ya kutafunia au ya kunusu.