Mita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 135 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11573 (translate me)
fomati
Mstari 3:
 
Kutokana na maana hiyo "mita" inataja pia mitambo ya kupima maji, umeme na kadhalika. Hapo matumizi ya Kiswahili kinafanana na Kiingereza "meter".
[[Picha:Platinum-Iridium meter bar.jpg|right|framethumb|''Mita ya kimataifa'', Reli ya metali ya platini iliyokuwa mfano halisi wa mita hadi 1960. ([[NIST]])]]
== Mita ya asili ==
Mita imeundwa kama kipimo wakati wa [[mapinduzi ya Kifaransa]] mwaka 1793. Nia ilikuwa kumaliza vipimo vya kale kutokana na viungo vya mwili kama hatua, mkono, mguu na kadhalika. Vipimo hivi asilia vilitofautiana kila mahali; [[Ujerumani]] ilikuwa na na futi zaidi ya kumi katika mikoa na majimbo mbalimbali. "Mita" imeamuliwa ni sehemu moja kati ya sehemu milioni 40 za [[meridiani]] ya [[Paris]] (mstari kutoka [[ikweta]] hadi [[ncha ya kaskazini]] unaopita mji wa Paris).