Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 81 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9649 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula''' ni mfumojumla katikaya [[mwiliviungo wamwilini mwa [[binadamu]] na [[mamalia]] wengine unaohusikavinavyofanya kazi ya kuingiza [[chakula]] mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, kuondoa lishe ya mwili mdami yake, na kuondoa mabaki nje ya mwili. Kwa hiyo mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni njia yote kuanzia [[mdomo]] hadi [[mkundu]].

Kwa lugha nyingine unahusika na umeng'enyaji wa [[chakula]] mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili. Ili chakula kiweze kutumika mwilini, ni lazima kivunjwevunjwe kiwe katika hali rahisi ya kuweza kusharabiwa. Kazi hiyo hufanywa na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula wa mwanadamu hufanana na ule wa [[sungura]], [[panya]] au [[pimbi]]. Sehemu kuu zinazohusika katika umeng’enyaji huo ni [[kinywa]], [[umio]], [[mfuko wa tumbo]], [[ini]], [[mfuko wa nyongo]], [[utumbo mwembamba]], [[kongosho]], [[utumbo mpana]] na [[puru]].
 
Chakula kinaposafiri katika njia yake hufanyiwa [[mabadiliko ya kiumbo]] na [[mabadiliko ya kikemikali]]. Kila sehemu ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ina kazi maalum.
Chakula cha mnyama au binadamu huweza kuwa cha [[kabohaidreti]]/[[wanga]], [[protini]], [[fati]] au mchanganyiko wa vyakula hivyo. Myeyuko wa makundi hayo ya vyakula hutokea katika sehemu mbalimbali za [[njia ya chakula]] kwa njia za kemikali.