Mzee Small : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kifo chake
Mwaka alofariki msanii Said Ngamba (Mzee Small)
Mstari 17:
| tovuti =
}}
'''Said Ngamba''' au '''Mzee Small''' (amezaliwa mw. [[1955]] - 2014) ni msanii wa maigizo na vichekesho kutoka nchini [[Tanzania]]. Huenda akawa anaaminika zaidi kuwa mmoja wa wasanii wakongwe kwa nchi ya Tanzania, hasa katika fani ya uchekeshaji ambayo sasa inachezwa zaidi na vijana.
==Maisha na sanaa==
Kwa historia fupi ya maisha yake, Mzee Small alizaliwa mwaka 1955 na kupata elimu yake ya msingi katika shule ya Mingumbi huko Kilwa mkoani Pwani.