Chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 120 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2095 (translate me)
No edit summary
Mstari 10:
* [[vitamini]] na [[madini]].
 
Protini, mafuta na wanga huleta nishati kwa mwili. Vilevile hukuza mwili yaani katika [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] (tumboni) zinapasuliwa katika sehemu asilia zao na kuingizwa katika muundo wa seli za mwili.
 
Chakula kinatoka kwenye mimea na pia kwenye wanayama. Sehemu ya mahitaji yanatoka pia moja kwa moja kwenye mazingira bila kupita mimea au wanyama hasa madini kwa mfano [[chumvi]].
Mstari 19:
 
==Chakula na afya==
Chakula kinatakiwa kuwa na sehemu zote zinazohitajika na mwili. Uhaba wa sehemu mmoja utasababisha [[utapiamlo]] na magonjwa mbalimbali. Kuna matatizo hasa kama watoto hukosa chakula chenye ulinganifu. Mara nyingi wakinamama wanaowapa watoto chakula wanajali tu ya kwamba mtoto ashibe. Mtu anaweza kushiba kutokana na wanga pekee yake lakini uhaba wa protini na vitamini husababishahuleta utapiamlo na kusababisha magonjwa na ikitokea kwa watoto upungufu wa kukua kwa sehemu za ubongo na mwili.
 
Vilevilekuna tatizo la mara kwa mara ni uhaba wa minerali fulani katika mazingira ya pekee.