Chakula : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Picha:FoodMeat.jpg|thumb|200px|Aina za [[nyama]].]]
Chakula ni kile kinacholiwa na watu kwa kudumisha maisha yao. [[Mwili]] unahitaji
* [[protini]]
* [[mafuta]]
Mstari 10:
* [[vitamini]] na [[madini]].
Protini, mafuta na wanga huleta nishati kwa mwili. Vilevile hukuza mwili yaani katika [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] (tumboni) zinapasuliwa
Chakula kinatoka kwenye mimea na pia kwenye wanayama. Sehemu ya mahitaji yanatoka pia moja kwa moja kwenye mazingira bila kupita mimea au wanyama hasa madini kwa mfano [[chumvi]].
|