Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q485 (translate me)
Siyo "kirusi" lakini "virusi"
Mstari 12:
 
== Hasara kubwa zilizosababishwa na "worm" ==
Mnamo tar. [[24 Januari]] [[2003]], aina ya kirusivirusi cha kompyuta kiitwacho "'''worm'''" kilitolewa ili kuathiri Intaneti. Worm ni mfululizo wa maelekezo ya kompyuta ambayo yanajiweka nakala nyingi-nyingi yenyewe na kuzituma kwa kompyuta nyingine.
 
Huyu worm ametuma nakala kibao zake mwenyewe kwenye kompyuta nyingine kupitia Intaneti. Huyo worm ameharibu mamilioni kadhaa ya kompyuta duniani. Imepunguza uwezo wa makompyuta kibao kupitia mitandao ya kompyuta.