Ngano nyekundu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jamii
+ ing.
Mstari 15:
| bingwa_wa_spishi = [[Carolus Linnaeus|L.]]
}}
'''Ngano nyekundu''' ([[lat.]] ''Secale cereale''; ''[[ing.]] rye'') ni mmea wa familia ya [[nyasi|manyasi]] katika ngeli ya [[monokotiledoni]]. [[Mbegu]] au [[punje]] za ngano nyekundu ni [[nafaka]] ambayo ni [[chakula]] muhimu katika sehemu za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali. Ni mmea ulio karibu na [[ngano]].
 
Matumizi yake ni kwa ajili ya [[unga]], [[mkate]], [[bia]], aina za [[wiski]] na pombe mbalimbali halafu lishe ya wanyama.