Kihindi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+ hindustani |
|||
Mstari 4:
Lugha imetoka katika [[Sanskrit]] ya kale iliyokuwa lugha ya chanzo cha utamaduni wa Uhindi.
==Kihindi, Kiurdu na Kihindustani==
Kihindi ni umbo la lugha ya [[Kihindustani]] nchini India. Kihindustani ilikuwa jina la pamoja katika Uhindi wa kaskazini kabla ya ugawaji wa mwaka 1947 mwisho wa ukoloni na kuanzishwa kwa nchi huru za [[Pakistan]] na India. Baada ya uhuru lugha ya pamoja ya awali iliitwa "Kihindi" upande wa India na "[[Kiurdu]]" upande wa Pakistan. Hali halisi lugha hizi mbili ni kama lugha 1 hata kama Urdu huandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]] na Kihindi kwa herufi za [[Devanagari]].
{{mbegu-lugha}}
|