Sekunde : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 110 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11574 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Viambishi awali vya vipimo sanifu}}
'''Sekunde''' (alama: '''s'''; pia: '''nukta, sekundi, sekondi''') ni kipimo cha [[wakati]] na kati ya vipimo vya kimsingi wa [[SI]].
 
Line 7 ⟶ 8:
Kisasili siku iligawiwa kwa masaa, masaa kwa dakika na dakika kwa sekundi. Imeonekana ya kwamba hesabu hii haitoshi kwa matumizi ya kisayansi kwa sababu muda wa siku si sawa kamili kutokana na mwendo wa [[dunia]] yetu. Hivyo kipimo kamili cha sekunde ilitafutwa kinachopimika katika [[fizikia]] na sasa muda wa vipimo vingine vya wakati inahesabiwa kwenye msingi wa sekunde siyo kinyume. Tokeo mojawapo ni ya kwamba siku hailingani tena kamili na masaa 24.
 
Kwa vipimo vya kisayansi ni muhimu kutaja sehemu za sekunde na hapa [[viambishi awali vya vipimo sanifu]] hutumiwa: milisekunde, nanosekunde, femtosekunde. Viambish awali kwa uwingi wa sekunde si kawaida.
 
{{mbegu-sayansi}}