Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 117 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q318 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Andromeda galaxy.jpg|thumb|300px|GalaxiGalaksi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110]]
 
'''Galaksi''' ni [[kundi]] la [[nyota]] nyingi zinazoshikamana pamoja katika [[anga la umlimwenguulimwengu]] zikishikwakutokana na [[graviti]] yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawinguma[[wingu]] makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
 
Kuna galaksi nyingi sana [[ulimwengu]]ni. Kwa [[wastani]] kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama [[bilioni]] 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
Galaksi yetu ikiwemo [[mfumo wa jua]] letu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung'aa kwenye anga la usiku linalojulikana kama [[njia nyeupe]]. Umbo lake unafanana na kisahani ikiwa kipenyo chake ni [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .
 
Galaksi yetu, ikiwemo [[mfumo wa jua]] letu, imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama [[kanda]] la kung'aa kwenye [[anga]] la [[usiku]] linalojulikana kwa [[rangi]] yake kama [[njia nyeupe]] au njia ya [[maziwa]] ([[kiowevu]] hicho kwa [[Kigiriki]] kinaitwa "galax"). Umbo lake unafanana na kisahani ikiwakikiwa kipenyona chake[[kipenyo]] nicha [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unenekikiwa wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwana [[Andromedaunene]] ina umbali wa miaka ya nuru milioni 23,000.5 .
Idadi kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya darubini au vyombo vya angani.
 
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
 
[[Idadi]] kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirioma[[kadirio]] ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya [[darubini]] au vyombo vya angani.
 
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa ya [[wanasayansi]] wa [[astronomia]].
 
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa ya wanasayansi wa [[astronomia]].
{{mbegu-sayansi}}